Roboti za AI zafunzwa katika mazingira ya ulimwengu-halisi mjini Shanghai, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2026
Roboti za AI zafunzwa katika mazingira ya ulimwengu-halisi mjini Shanghai, China
Mfanyakazi akimfunza roboti kusafisha ubao mweupe ndani ya kampuni ya Maniformer, jukwaa la huduma ya data ya AI kwenye mazingira halisi, mjini Shanghai, mashariki mwa China, Agosti 5, 2026. (Xinhua/Chen Haoming)

Ndani ya kampuni za teknolojia za Mji wa Shanghai, China kama vile AGIBOT na Maniformer, roboti za AI zinafunzwa katika mazingira halisi ya kazi za nyumbani, uuzaji wa rejareja, uchambuzi vitu, uzalishaji na mazingira mengine ya ulimwengu-halisi, ili kuendeleza uwezo wao wa AI kwa matumizi katika maisha-halisi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha