Tamasha la Utalii na Utamaduni la kuadhimisha Siku ya Qixi laanzishwa Chongqing, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2026
Tamasha la Utalii na Utamaduni la kuadhimisha Siku ya Qixi laanzishwa Chongqing, China
Picha iliyopigwa Agosti 15, 2026 ikionesha hali ya tamasha la utalii na utamaduni lenye mada kuhusu taa za kijadi zinazoelea kwa ajili ya Siku ya Qixi (yaani siku ya 7 ya mwezi wa 7 kwa kalenda ya kilimo ya China), inayojulikana pia kwa jina la Siku ya Wapendanao ya China, katika Eneo la Rongchang, huko Chongqing, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Tang Yi)

Tamasha la utalii na utamaduni lenye mada kuhusu taa za kijadi zinazoelea lilianza Jumamosi katika Eneo la Rongchang, huko Chongqing, kusini-magharibi mwa China, likihusisha tamasha ya muziki, maandamano na maonyesho mbalimbali ikiwa ni pamoja na fashifashi za chuma kilichoyeyushwa na maonyesho ya chelezo za mianzi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha