Tamasha la Utalii na Utamaduni la kuadhimisha Siku ya Qixi laanzishwa Chongqing, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2026
Tamasha la Utalii na Utamaduni la kuadhimisha Siku ya Qixi laanzishwa Chongqing, China
Watu wakifurahia onyesho kwenye konsati liliyofanyika kwenye tamasha la utalii na utamaduni lenye kaulimbiu kuhusu taa za jadi zinazoelea kwa ajili ya Siku ya Qixi (yaani siku ya 7 ya mwezi wa 7 kwa kalenda ya kilimo ya China), inayojulikana pia kwa jina la Siku ya Wapendanao ya China, katika Eneo la Rongchang, huko Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Agosti 15, 2026. (Xinhua/Tang Yi)

Tamasha la utalii na utamaduni lenye mada kuhusu taa za kijadi zinazoelea lilianza Jumamosi katika Eneo la Rongchang, huko Chongqing, kusini-magharibi mwa China, likihusisha tamasha ya muziki, maandamano na maonyesho mbalimbali ikiwa ni pamoja na fashifashi za chuma kilichoyeyushwa na maonyesho ya chelezo za mianzi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha