Lugha Nyingine
Tamasha la Utalii na Utamaduni la kuadhimisha Siku ya Qixi laanzishwa Chongqing, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2026
![]() |
| Onyesho la fashifashi za chuma kilichoyeyushwa likifanyika kwenye tamasha la utalii na utamaduni lenye mada kuhusu taa za kijadi zinazoelea kwa ajili ya Siku ya Qixi (siku ya 7 ya mwezi wa 7 kwa kalenda ya kilimo ya China), inayojulikana pia kwa jina la Siku ya Wapendanao ya China, katika Eneo la Rongchang, huko Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Agosti 15, 2026. (Xinhua/Tang Yi) |
Tamasha la utalii na utamaduni lenye mada kuhusu taa za kijadi zinazoelea lilianza Jumamosi katika Eneo la Rongchang, huko Chongqing, kusini-magharibi mwa China, likihusisha tamasha ya muziki, maandamano na maonyesho mbalimbali ikiwa ni pamoja na fashifashi za chuma kilichoyeyushwa na maonyesho ya chelezo za mianzi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




