Lugha Nyingine
Bandari ya Yantai ya China yashuhudia ongezeko la maradufu la bidhaa za jumla zilizosafirishwa kwa Afrika (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2026
Bidhaa za jumla zilizosafirishwa kwa Afrika kutoka Bandari ya Yantai mkoani Shandong, China zimezidi tani milioni 6 tokea mwaka huu, na zimefikia ongezeko la asilimia 66.1 kuliko kipindi kama hicho mwaka jana.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




