Bandari ya Yantai ya China yashuhudia ongezeko la maradufu la bidhaa za jumla zilizosafirishwa kwa Afrika (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2026
Bandari ya Yantai ya China yashuhudia ongezeko la maradufu la bidhaa za jumla zilizosafirishwa kwa Afrika
Picha iliyopigwa Agosti 16, 2026 ikionyesha malori yaliyoundwa China ya kusafirishwa Ghana yakipakiwa ndani ya meli kwenye Bandari ya Yantai, mkoani Shandong, mashariki mwa China. (Picha na Tang Ke/Xinhua)

Bidhaa za jumla zilizosafirishwa kwa Afrika kutoka Bandari ya Yantai mkoani Shandong, China zimezidi tani milioni 6 tokea mwaka huu, na zimefikia ongezeko la asilimia 66.1 kuliko kipindi kama hicho mwaka jana.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha