Lugha Nyingine
Bandari ya Yantai ya China yashuhudia ongezeko la maradufu la bidhaa za jumla zilizosafirishwa kwa Afrika (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Agosti 16, 2026 ikionyesha mabasi yaliyoundwa China ya kusafirishwa kwa Ghana yakipakiwa ndani ya meli kwenye Bandari ya Yantai, mkoani Shandong, mashariki mwa China. (Picha na Zhang Chao/Xinhua) |
Bidhaa za jumla zilizosafirishwa kwa Afrika kutoka Bandari ya Yantai mkoani Shandong, China zimezidi tani milioni 6 tokea mwaka huu, na zimefikia ongezeko la asilimia 66.1 kuliko kipindi kama hicho mwaka jana.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




