Lugha Nyingine
Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 waanza Beijing, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 20, 2026
![]() |
| Roboti za umbo la mbwa zikioneshwa kwenye Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 mjini Beijing, Agosti 19, 2026. (Picha na Bi Shanghong/Xinhua) |
Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 ukiwa na kaulimbiu ya “Ushirikiano wa binadamu na roboti, mafungamano ya uzalishaji na mahitaji” umeanza rasmi jana Jumatano mjini Beijing.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




