Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 waanza Beijing, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 20, 2026
Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 waanza Beijing, China
Watembeleaji wakipiga picha za roboti yenye umbo la binadamu kwenye Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 mjini Beijing, Agosti 19, 2026. (Xinhua/Li Xin)

Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 ukiwa na kaulimbiu ya “Ushirikiano wa binadamu na roboti, mafungamano ya uzalishaji na mahitaji” umeanza rasmi jana Jumatano mjini Beijing.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha