Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 waanza Beijing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 20, 2026
Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 waanza Beijing, China
Roboti zikicheza mechi ya mpira wa miguu katika wakati wa Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 unaofanyika Beijing, mji mkuu wa China, Agosti 19, 2026. (Xinhua/Li Xin)

Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 ukiwa na kaulimbiu ya “Ushirikiano wa binadamu na roboti, mafungamano ya uzalishaji na mahitaji” umeanza rasmi jana Jumatano mjini Beijing.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha