Wakulima wana pilikapilika za msimu wa mavuno kote China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 17, 2026
Wakulima wana pilikapilika za msimu wa mavuno kote China
Wakulima wakipangilia matunda ya pasheni yaliyochumwa hivi karibuni kwenye Wilaya ya Jinping, Mkoa wa Guizhou Kusini Magharibi mwa China, Septemba 16, 2026. (Picha na Yang Xiaohai/Xinhua)

Hivi karibuni, wakulima wana pilikapilika za mavuno ya majira ya mpukutiko nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha