Wakulima wana pilikapilika za msimu wa mavuno kote China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 17, 2026
Wakulima wana pilikapilika za msimu wa mavuno kote China
Wakulima wakivuna mahindi kwenye mji mdogo wa Huiting, Mkoa wa Henan katikati ya China, Septemba 16, 2026. (Picha na Wang Gaochao /Xinhua)

Hivi karibuni, wakulima wana pilikapilika za mavuno ya majira ya mpukutiko nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha