Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kusherehekea Sikukuu ya Taifa inyowadia (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2026
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kusherehekea Sikukuu ya Taifa inyowadia
Wanafunzi wakitazama onyesho la ngoma ya dragoni katika Mji wa Xinghua mkoani Jiangsu, mashariki mwa China, Septemba 29, 2026. (Picha na Zhou Shegen/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zinafanyika katika sehemu mbalimbali nchini China kusherehekea Sikukuu ya Taifa inayowadia ya Tarehe Mosi Oktoba, ambapo watu wanaweza kupata mapumziko ya wiki nzima, inayojulikana pia kwa jina la Wiki ya Dhahabu ambayo itaanza kesho Alhamisi Oktoba Mosi na kumalizika wiki ijayo Oktoba 7.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha