Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kusherehekea Sikukuu ya Taifa inyowadia (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2026
Shughuli mbalimbali zafanyika sehemu mbalimbali China kusherehekea Sikukuu ya Taifa inyowadia
Wakazi wakionyesha bata waliowakamata wakati wa shindano la burudani la data ya kilimo katika Eneo la Rongjiang mkoani Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Septemba 29, 2026. (Picha na Yang Chengli/Xinhua)

Shughuli mbalimbali zinafanyika katika sehemu mbalimbali nchini China kusherehekea Sikukuu ya Taifa inayowadia ya Tarehe Mosi Oktoba, ambapo watu wanaweza kupata mapumziko ya wiki nzima, inayojulikana pia kwa jina la Wiki ya Dhahabu ambayo itaanza kesho Alhamisi Oktoba Mosi na kumalizika wiki ijayo Oktoba 7.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha