Lugha Nyingine
Kazi ya kufunga nyaya za kuvuka Mto Changjiang ya mradi wa kusafirisha umeme yakamilishwa (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 27, 2026
![]() |
| Picha ikionesha mradi wa kusafirisha umeme wa mkondo wa moja kwa moja wenye volteji ya juu sana (UHVDC) ya ±800kV kuvuka Mto Changjiang huko Wuhu mkoani Anhui, mashariki mwa China, Oktoba 26, 2026. (Picha na Zheng Xianlie/Xinhua) |
Kazi ya kufunga nyaya za kuvuka Mto Changjiang ulio mpana katika mradi wa kusafirisha umeme wa mkondo wa moja kwa moja wenye volteji ya juu sana (UHVDC) ya ±800kV imekamilishwa jana Jumatatu huko Wuhu, mkoani Anhui, mashariki mwa China.
Mradi huo una urefu wa jumla wa kilomita 2,370 kutoka Mkoa wa Gansu kaskazini-magharibi mwa China hadi Mkoa wa Zhejiang mashariki mwa China. Mara utakapokamilika na kuanza kufanya kazi, utaweza kusafirisha umeme kwa bilioni zaidi ya 36 za kilowati-saa (kWh) kwenda Mkoa wa Zhejiang kwa mwaka.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




