Picha: Maendeleo ya Mazingira ya Ikolojia yaonekana Xiamen, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 02, 2026
Picha: Maendeleo ya Mazingira ya Ikolojia yaonekana Xiamen, China
Picha iliyopigwa Oktoba 27, 2026, ikionesha mandhari ya hifadhi ya mikoko katika Eneo la Xiang'an la Mji wa Xiamen wa Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Katika miaka mingi iliyopita, Mji wa Xiamen katika Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China siku zote umekuwa ukisukuma mbele maendeleo ya mazingira ya ikolojia kwa kupitia kuongeza juhudi za kujenga "ghuba za kupendeza," kulinda maeneo ya pwani yenye tope na ardhi oevu, na kurejesha mifumo ya mazingira ya ikolojia ya pwani.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha