Lugha Nyingine
Picha: Maendeleo ya Mazingira ya Ikolojia yaonekana Xiamen, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 02, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Julai 27, 2026, ikionesha mandhari ya Daraja la Haicang mjini Xiamen, Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan) |
Katika miaka mingi iliyopita, Mji wa Xiamen katika Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China siku zote umekuwa ukisukuma mbele maendeleo ya mazingira ya ikolojia kwa kupitia kuongeza juhudi za kujenga "ghuba za kupendeza," kulinda maeneo ya pwani yenye tope na ardhi oevu, na kurejesha mifumo ya mazingira ya ikolojia ya pwani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




