Siku hiyo hafla ya kutunuku medali kwa washindi wa Mbio fupi za kupokezana vijiti za kuteleza kwa kasi kwenye barafu kwa timu za jinsia mchanganyiko kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 ilifanyika kwenye uwanja wa kutunukia medali ulioko eneo la michezo la Beijing.
Fashifashi zikimulika angani usiku wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa wa Beijing wa Kiota cha Ndege, Februari 4, 2022. (Xinhua/Li Xin) BEIJING - Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing 2022 imeanza rasmi Februari 4, na sherehe za ufunguzi, ikiwa ni sehemu ya kufunguliwa kwa pazia la Michezo hiyo, zimesifiwa na kupongezwa na washiriki wa kimataifa.
KAMPALA - Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Uganda (UOC) Donald Rukare amesema kuwa China itaandaa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya 2022 yenye mafanikio. "Sote tunajua mazingira mazuri ya China kuandaa mashindano ya Dunia yenye mafanikio makubwa.