人民网首页

Habari

IOC yasifu “Matumizi mara Mbili ya Viwanja vya Michezo ya Olimpiki”: Kujumuisha sifa bora za Olimpiki Endelevu

Katika mkutano na waandishi wa habari wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing Februari 9, Msimamizi mkuu wa Chapa na Maendeleo Endelevu wa Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa IOC Marie Sallois alisifu “Matumizi ya mara mbili ya viwanja vya michezo ya Olimpiki” ya Beijing, akiamini kwamba njia hiyo ya kutumia viwanja inaleta pamoja uzoefu wa Michezo ya Olimpiki iliyopita na faida endelevu. Kutumia viwanja vya michezo baada ya michezo mikubwa kumalizika kumekuwa ni tatizo la kidunia.

Wafanyakazi wakitengeneza Maskoti Bing Dwen Dwen katika kiwanda cha midoli kichoko katika Mji wa Jinjiang, Mkoa wa Fujian Kusini-Mashariki mwa China, Februari 9, 2022. Bing Dwen Dwen, maskoti rasmi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, amekuwa maarufu sana hivi majuzi. Kiwanda kimoja kilichoidhinishwa huko Jinjiang kimeanza tena uzalishaji wa bidhaa za Maskoti Bing Dwen Dwen mapema zaidi kabla ya ratiba ili kuhakikisha ugavi wa kutosha kwa soko. (Picha na Lin Xiaoyan/Xinhua)

Kiwanda cha Kutengeza Maskoti Bing Dwen Dwen chaanza tena uzalishaji

Wachezaji wakifanya mashindano kwenye mchezo Februari 9. 
 (Xinhua/Mpiga picha: Li Ga )

Hali ya fainali ya mashindano ya mbio fupi za mita 1500 kwa wanaume za kuteleza kwa kasi kwenye barafu

Siku hiyo, fainali ya mashindano ya mbio fupi za mita 1500 kwa wanaume za kuteleza kwa kasi kwenye barafu katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ilifanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Beijing.

“Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing inaleta maendeleo na ustawi”

Picha iliyopigwa Februari 9, 2022 ikionesha wanamichezo wakifanya mazoezi kabla ya fainali ya mbio fupi ya mita 1,500 kwa wanaume ya kuteleza kwa kasi kwenye barafu katika Jumba la michezo la Mji Mkuu, mjini Beijing, China. (Xinhua/Xu Zijian) BRUSSELS – Chombo cha habari cha mtandaoni mjini Brussels, Ubelgiji kimetoa maoni kwamba, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ni tukio muhimu la kuleta maendeleo na ustawi.

Iliyopita7 8 9 10 11 12 Inayofuata