Februari 4, Sherehe ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ilifanyika Beijing. Kwenye hafla ya kuwasha mwenge kuu, mwanamichezo wa kuteleza kwenye theluji wa ujumbe wa michezo ya China Dinigeer pamoja na mwanamichezo wa michezo miwili ya Nordic Zhao Jiawen wakiwa wapokea wa mwisho wa mwenge waliwasha mwenge kuu wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
Sherehe ya ufunguzi wa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa taifa wa Beijing. Rais Xi Jinping wa China ametangaza kufunguliwa kwa michezo hiyo.
(Picha inatoka CRI.) Mkurugenzi wa Idara ya Olimpiki ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa, Bw.
(Picha inatoka CRI.) Mbio za kukimbiza Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing zimeanza rasmi tarehe 2 asubuhi saa tatu katika uwanja wa Bustani ya Kusini ya Hifadhi ya Misitu ya Olimpiki ya Beijing.