人民网首页

Maoni ya Kimataifa

Msomi wa Cameroon: Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing yaakisi mabadiliko makubwa yaliyotokea China

(Picha inatoka cri.) Msomi wa Cameroon Dkt.

IOC yasifu “Matumizi mara Mbili ya Viwanja vya Michezo ya Olimpiki”: Kujumuisha sifa bora za Olimpiki Endelevu

Katika mkutano na waandishi wa habari wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing Februari 9, Msimamizi mkuu wa Chapa na Maendeleo Endelevu wa Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa IOC Marie Sallois alisifu “Matumizi ya mara mbili ya viwanja vya michezo ya Olimpiki” ya Beijing, akiamini kwamba njia hiyo ya kutumia viwanja inaleta pamoja uzoefu wa Michezo ya Olimpiki iliyopita na faida endelevu. Kutumia viwanja vya michezo baada ya michezo mikubwa kumalizika kumekuwa ni tatizo la kidunia.

“Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing inaleta maendeleo na ustawi”

Picha iliyopigwa Februari 9, 2022 ikionesha wanamichezo wakifanya mazoezi kabla ya fainali ya mbio fupi ya mita 1,500 kwa wanaume ya kuteleza kwa kasi kwenye barafu katika Jumba la michezo la Mji Mkuu, mjini Beijing, China. (Xinhua/Xu Zijian) BRUSSELS – Chombo cha habari cha mtandaoni mjini Brussels, Ubelgiji kimetoa maoni kwamba, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ni tukio muhimu la kuleta maendeleo na ustawi.

Washiriki kutoka nchi mbalimbali wapongeza sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Beijing 2022

Fashifashi zikimulika angani usiku wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing 2022 kwenye Uwanja wa Taifa wa Beijing wa Kiota cha Ndege, Februari 4, 2022. (Xinhua/Li Xin) BEIJING - Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing 2022 imeanza rasmi Februari 4, na sherehe za ufunguzi, ikiwa ni sehemu ya kufunguliwa kwa pazia la Michezo hiyo, zimesifiwa na kupongezwa na washiriki wa kimataifa.

Iliyopita1 2 3 4 5 6 Inayofuata