(Picha inatoka ukurasa wa akaunti ya Facebook ya Rais Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi.
Mwanamke akiteleza kwenye theluji. (Picha inatoka IC.
Filbert Bayi (wa kulia) (Picha inatoka Instagram ya kiofisi ya TOC.) DAR ES SALAAM - Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki ya Tanzania (TOC), Filbert Bayi amesema kwamba kususia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing Mwaka huu wa 2022 ni kuwaathiri wanamichezo ambao wamekuwa wakijiandaa kwa miaka minne ili kushiriki mashindano hayo yenye hadhi ya juu duniani.
SINGAPORE – Mtaalam Mwandamizi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), Michael Ryan amesema kwamba, Mipango ya Beijing ya kuhakikisha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya 2022 mwezi ujao inafanyika kwa usalama wakati wa janga la UVIKO-19 inaonekana kuwa imara. Kwa mujibu wa chombo cha habari cha Lugha ya Kichina nchini Singapore cha Lianhe Zaobao, Mkurugenzi wa Mambo ya Dharura wa WHO Michael Ryan amesema hayo wakati wa mkutano na waandishi wa habari siku ya Alhamisi ya wiki iliyopita.