KAMPALA - Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Uganda (UOC) Donald Rukare amesema kuwa China itaandaa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya 2022 yenye mafanikio. "Sote tunajua mazingira mazuri ya China kuandaa mashindano ya Dunia yenye mafanikio makubwa.
(Picha inatoka CRI.) Mkuu wa Shirika kuu la Utangazaji la China (CMG) ambaye pia ni mhariri mkuu wa Shirika hilo Bw.
Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-moon amesema anaamini kuwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing itapata mafanikio makubwa na kuimarisha mawasiliano ya kirafiki kati ya vijana wa nchi mbalimbali zikiwemo Korea Kusini na China.
BEIJING - Rais wa China Xi Jinping amemwambia Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) Thomas Bach ambaye yuko ziarani nchini China kuwa China iko tayari kuwasilisha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi iliyo rahisi, salama na murua. Xi amekutana na Bach, kwenye Jumba la Wageni la Taifa la Diaoyutai mjini Beijing, siku 10 kabla ya kufunguliwa rasmi kwa Michezo hiyo mnamo Februari 4.