人民网首页

Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China wafungwa

China yahimiza ushirikiano na mazungumzo huku hali ya kutokuwa na uhakika ikiongezeka duniani

Kutokana na mabadiliko makubwa ambayo hayajapata kuonekana katika kipindi cha karne moja, China siku ya Jumatatu wiki hii imetoa wito kwa nchi duniani kuendelea kujitolea kusitisha vita kwa njia ya mazungumzo, kusuluhisha migogoro kwa njia ya mazungumzo, na kuongeza hali ya kuaminiana kupitia ushirikiano.

China haitafunga mlango wake

Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo amesema China imetekeleza sera ya kufungua mlango kwa zaidi ya miaka 40, sera ambayo imeleta maendeleo kwa China na manufaa kwa dunia nzima, kwa hiyo China haitafunga mlango wake.…

Waziri Mkuu wa China Li Keqiang akikutana na waandishi wa habari baada ya ufungaji wa mkutano wa tano wa Bunge la Umma la 13 la China (NPC) hapa Beijing, Machi 11, 2022. Li akijibu maswali ya waandishi wa habari wa ndani na nje ya China kwa kupitia video. (Xinhua)

Waziri Mkuu wa China akutana na waandishi wa habari baada ya Mkutano wa mwaka wa Kutunga Sheria

Waziri Mkuu wa China Li Keqiang akiitisha mkutano na waandishi wa habari Ijumaa baada ya ufungaji wa mkutano wa tano wa Bunge la Umma la 13 la China. Waziri Mkuu alijibu maswali ya waandishi wa habari wa ndani na nje ya China kwa kupitia video.…