人民网首页

Habari

Makamu Rais wa Afrika Kusini Paul Mashatile akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa kiwanda cha kuzalisha magari cha Chery, Pretoria, Afrika Kusini, Julai 3, 2026. (Xinhua/Chen Wei)

Kampuni ya kuunda magari ya Chery ya China yafungua kiwanda cha kwanza Afrika Kusini, yalenga soko pana la Afrika

PRETORIA, Afrika Kusini - Kampuni ya kuunda magari ya Chery ya China imezindua rasmi kiwanda chake cha kuzalisha magari siku ya Ijumaa huko Rosslyn, kaskazini mwa mji mkuu wa utawala wa Afrika Kusini, Pretoria, ikiashiria mabadiliko yake ya kuwa mzalishaji magari wa nchini humo na kuzidisha dhamira yake ya muda mrefu kwa soko la Afrika Kusini. Akihutubia hafla ya uzinduzi wa kiwanda hicho, Mwenyekiti wa Chery Yin Tongyue amesema uwekezaji huo unaonyesha dhamira ya muda mrefu ya kampuni hiyo kwa Afrika Kusini.

Waziri wa utalii wa Ushelisheli asema uhusiano kati ya Ushelisheli na China utaimarika zaidi katika kipindi cha miaka 50 ijayo

Waziri wa Utalii na Utamaduni wa Ushelisheli Amanda Bernstein akizungumza kwenye mahojiano na Shirika la Habari la China, Xinhua mjini Victoria,Ushelisheli, Juni 25, 2026. (Xinhua/Xie Jianfei) VICTORIA - Waziri wa Utalii na Utamaduni wa Ushelisheli Amanda Bernstein amesema uhusiano kati ya Ushelisheli na China sasa unaingia katika zama mpya ya ushirikiano na maendeleo, hasa katika mawasiliano ya kitamaduni.

Makamu Rais wa China akutana na mwenzake wa Afrika Kusini

Makamu Rais wa China Han Zheng akikutana na Naibu Rais wa Afrika Kusini Paul Mashatile mjini Beijing, China, Juni 23, 2026. (Xinhua/Li Tao) BEIJING - Makamu Rais wa China Han Zheng amekutana na Naibu Rais wa Afrika Kusini Paul Mashatile Jumanne mjini Beijing.

Mkoa wa Hunan Katikati mwa China waongeza biashara kati ya China na Afrika kwa uvumbuzi wa sera

Watu wakitembelea banda la Afrika Kusini kwenye Kituo cha Kimataifa cha Maonyesho na Mikutano cha Changsha mjini Changsha, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Juni 12, 2025. (Xinhua/Wang Jingqiang) CHANGSHA – Kwenye soko lenye pilika nyingi mjini Changsha, mji mkuu wa Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, wanunuzi wanachagua bidhaa maalum za Afrika.

Iliyopita5 6 7 8 9 10 Inayofuata