Umoja wa Ulaya watoa mpango wa uwekezaji wa Euro bilioni 300 ili kupunguza utegemezi wa nishati kwa Russia (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 20, 2022
Umoja wa Ulaya watoa mpango wa uwekezaji wa Euro bilioni 300 ili kupunguza utegemezi wa nishati kwa Russia
Tarehe 18 Mei, Mwenyekiti wa Kamati ya Umoja wa Ulaya (EU) Ursula von der Leyen akitoa hotuba katika makao makuu ya Kamati ya Umoja wa Ulaya huko Brussels, Ubelgiji.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha