Watu washerehekea siku za kuzalisha kwa Panda “Ruyi” na “Dingding” katika Moscow

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 01, 2022
Watu washerehekea siku za kuzalisha kwa Panda “Ruyi” na “Dingding” katika Moscow
Julai 31, watu wakitazama panda “Dingding” katika Moscow, mji mkuu wa Russia.

Siku hiyo, bustani ya wanyama ya Moscow ilisherehekea siku za kuzaliwa kwa panda wanaotoka China “Ruyi” na “Dingding”. Panda wa kiume “Ruyi” alizaliwa Julai 31, mwaka 2016 kwenye kituo cha bonde la Bifeng katika mji wa Ya’an, mkoa wa Sichuan, panda wa kike “Dingding” alizaliwa Julai 30, mwaka 2017 kwenye kituo cha Shenshuping cha Wolong cha Mkoa wa Sichuan, na walifika Moscow Aprili 29, mwaka 2019, na kuanza kuishi huko kwa muda wa miaka 15. (Mpiga picha:Bai Xueqi/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha