Pilikapilika ya ujenzi wa mradi wa Daraja la Jinzhou la Guizhou (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2022
Pilikapilika ya ujenzi wa mradi wa Daraja la Jinzhou la Guizhou
Picha hii iliyopigwa Desemba 4 ikionesha Daraja la Jinzhou likijengwa.

Siku hiyo, Daraja la Jinzhou linalojengwa na Kampuni ya Barabara ya Guizhou limemalizika kazi ya ujenzi wa mnara mkuu. daraja la Jinzhou ni barabara ya kasi linalounganisha Mji wa Xingyi na Eneo Jipya la Yilong la sehemu ya kusini magharibi mwa mkoa wa Guizhou, urefu wake wa jumla ni mita 1600 na linapangiwa kuzinduliwa Oktoba Mwaka 2023. (Mpiga picha: Taoliang/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha