Katika Picha: Watu wakifurahia vyakula vya Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika maeneo mbalimbali ya China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 26, 2023
Katika Picha: Watu wakifurahia vyakula vya Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika maeneo mbalimbali ya China
Mtoto akila vitafunio kwenye mtaa wa kibiashara huko Kunming, Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China, Januari 23, 2023. (Picha na Hu Chao/Xinhua)

Watu mbalimbali wanafurahia vyakula vya aina mbalimbali nchini China wakati wa likizo inayoendelea ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha