

Lugha Nyingine
Katika Picha: Watu wakifurahia vyakula vya Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika maeneo mbalimbali ya China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 26, 2023
![]() |
Watalii wakionja tambi kwenye mkahawa katika mtaa wa kibiashara huko Xianyang, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini-Magharibi mwa China, Januari 24, 2023. (Xinhua/Zhang Bowen) |
Watu mbalimbali wanafurahia vyakula vya aina mbalimbali nchini China wakati wa likizo inayoendelea ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma