

Lugha Nyingine
Katika Picha: Watu wakifurahia vyakula vya Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika maeneo mbalimbali ya China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 26, 2023
![]() |
Watoto wakionja sukari ya kipamba katika eneo lenye mandhari nzuri katika Wilaya ya Luquan ya Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Januari 24, 2023. |
Watu mbalimbali wanafurahia vyakula vya aina mbalimbali nchini China wakati wa likizo inayoendelea ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma