

Lugha Nyingine
Katika Picha: Watu wakifurahia vyakula vya Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika maeneo mbalimbali ya China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 26, 2023
![]() |
Mpishi akionyesha skonzi za kukaangwa kwenye mkahawa huko Gaomi, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Januari 24, 2023. (Picha na Li Haitao/Xinhua) |
Watu mbalimbali wanafurahia vyakula vya aina mbalimbali nchini China wakati wa likizo inayoendelea ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma