Katika picha: Timu ya Madaktari wa China yatoa huduma za afya kwa wenyeji nchini Morocco (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2023
Katika picha: Timu ya Madaktari wa China yatoa huduma za afya kwa wenyeji nchini Morocco
Daktari Bingwa wa tiba ya mitishamba ya China ya kutumia sindano Shen Hanbing kutoka Timu ya Madaktari wa China akimchunguza mkazi kabla ya kufanya tiba hiyo ya vitobo vya sindano huko Mohammedia, Morocco, Februari 27, 2023. (Xinhua/Sui Xiankai)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha