Katika picha: Timu ya Madaktari wa China yatoa huduma za afya kwa wenyeji nchini Morocco

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2023
Katika picha: Timu ya Madaktari wa China yatoa huduma za afya kwa wenyeji nchini Morocco
Daktari Wang Yi kutoka Timu ya Madaktari wa China akimchunguza mgonjwa wakati wa utoaji wa huduma za matibabu bila malipo mjini Taza, Morocco, Januari 12, 2023.
Tangu Mwaka 1975, China imekuwa ikituma timu za wahudumu wa afya kwenda Moroko kutoa huduma za afya na matibabu kwa watu wa nchi hiyo.
Hadi kufikia mwisho wa Mwaka 2022, takriban wahudumu wa afya 2,000 wa China wametumwa katika nchi hiyo ya Afrika katika makundi 195, wakihudumia zaidi ya wagonjwa milioni 5.78 na kufanya upasuaji unaofikia 530,000. (Timu ya Madaktari wa China nchini Morocco/ Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha