Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2023
Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China
Wakulima wa Kijiji cha Didu kilichoko Mji wa Shijiazhuang katika Mkoa wa Hebei, China wakichuma pilipili shambani Tarehe 7, Oktoba. (Picha/Zhang Xiaofeng)

Msimu wa Hanlu (umande baridi) kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China unaanza leo tarehe 8, Oktoba. Kabla ya msimu huo, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya kila jitihada kuvuna mazao ili kuendana na majira ya kilimo. Pilikapilika za mavuno zinaonekana kila sehemu shambani. (Picha kutoka Shirika la Habari la China, Xinhua).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha