

Lugha Nyingine
Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2023
![]() |
Mkulima wa matunda akichuma zabibu kwenye kituo cha kupanda zabibu cha Jumuiya ya makazi ya Wenzhi iliyoko Mji wa Lijiang katika Mkoa wa Yunnan, China, Tarehe 7, Oktoba. (Picha/Zhao Qingzu) |
Msimu wa Hanlu (umande baridi) kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China unaanza leo tarehe 8, Oktoba. Kabla ya msimu huo, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya kila jitihada kuvuna mazao ili kuendana na majira ya kilimo. Pilikapilika za mavuno zinaonekana kila sehemu shambani. (Picha kutoka Shirika la Habari la China, Xinhua).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma