Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2023
Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China
Wakulima wakifanya kazi shambani kwenye Kijiji cha Changyun kilichoko Mji wa Kunshan katika Mkoa wa Jiangsu, China, Tarehe 7, Oktoba. (Picha/Wang Xuzhong)

Msimu wa Hanlu (umande baridi) kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China unaanza leo tarehe 8, Oktoba. Kabla ya msimu huo, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya kila jitihada kuvuna mazao ili kuendana na majira ya kilimo. Pilikapilika za mavuno zinaonekana kila sehemu shambani. (Picha kutoka Shirika la Habari la China, Xinhua).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha