

Lugha Nyingine
Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2023
![]() |
Wakulima wakichuma, kupanga na kupakia matufaa kwenye shamba la matufaa lililoko mji mdogo wa Lidao katika Mji wa Rongcheng, Mkoa wa Shandong, China, Tarehe 7, Oktoba. (Picha/Li Xinjun) |
Msimu wa Hanlu (umande baridi) kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China unaanza leo tarehe 8, Oktoba. Kabla ya msimu huo, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya kila jitihada kuvuna mazao ili kuendana na majira ya kilimo. Pilikapilika za mavuno zinaonekana kila sehemu shambani. (Picha kutoka Shirika la Habari la China, Xinhua).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma