

Lugha Nyingine
Picha: Mandhari ya Shambani kabla ya msimu wa Hanlu wa China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2023
![]() |
Maonesho ya Matumizi ya Mashine kwenye mambo ya kilimo yalifanyika kwenye Wilaya ya Zhaoxian ya Shijiazhuang, Hebei wa China tarehe 7, Oktoba, ili kutanguliza wakulima kutumia mashine za kisasa za kilimo kusimamia vizuri mambo ya kilimo na kuvuna kwa ufasini. (Picha ilipigwa na droni/Yan Zhiguo) |
Msimu wa Hanlu (umande baridi) kwa kalenda ya jadi ya kilimo ya China unaanza leo tarehe 8, Oktoba. Kabla ya msimu huo, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya kila jitihada kuvuna mazao ili kuendana na majira ya kilimo. Pilikapilika za mavuno zinaonekana kila sehemu shambani. (Picha kutoka Shirika la Habari la China, Xinhua).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma