Maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi yafanyika kote nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023
Maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi yafanyika kote nchini China
Mfanyakazi wa mahakama akielezea Katiba ya Nchi kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Na. 7 katika Wilaya ya Cheng'an ya Mji wa Handan katika Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Desemba 4, 2023.

China imefanya maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi Jumatatu ambapo shughuli mbalimbali zikiwemo za kuielezea na kutoa elimu ya Katiba ya Nchi kwa umma zimefayika kote nchini humo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha