Maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi yafanyika kote nchini China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023
Maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi yafanyika kote nchini China
Mfanyakazi wa idara ya sheria akitoa elimu ya Katiba ya Nchi ya Jamhuri ya Watu wa China kwa umma kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandanoni kwenye bustani iliyoko Wilaya ya Bo'ai ya Mji wa Jiaozuo, Mkoani Henan, Katikati mwa China, Desemba 4, 2023.

China imefanya maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi Jumatatu ambapo shughuli mbalimbali zikiwemo za kuielezea na kutoa elimu ya Katiba ya Nchi kwa umma zimefayika kote nchini humo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha