Maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi yafanyika kote nchini China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023
Maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi yafanyika kote nchini China
Wafanyakazi wa ofisi ya utamaduni na utalii wakitoa elimu ya Katiba ya Nchi kwa umma kupitia onyesho la Kuaiban, aina ya usimuliaji hadithi wa China unaoambatana na wapiga vibao vya mianzi, katika Wilaya ya Jingxing ya Mji wa Shijiazhuang katika Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Desemba 4, 2023. (Picha na Liang Zidong/Xinhua)

China imefanya maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi Jumatatu ambapo shughuli mbalimbali zikiwemo za kuielezea na kutoa elimu ya Katiba ya Nchi kwa umma zimefayika kote nchini humo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha