Maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi yafanyika kote nchini China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023
Maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi yafanyika kote nchini China
Picha hii ya angani iliyopigwa Desemba 4, 2023 ikionyesha wanafunzi wakishiriki katika shughuli ya kuadhimisha Siku ya Katiba ya Nchi katika Wilaya ya Xianju ya Mji wa Taizhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Picha na Wang Huabin/Xinhua)

China imefanya maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi Jumatatu ambapo shughuli mbalimbali zikiwemo za kuielezea na kutoa elimu ya Katiba ya Nchi kwa umma zimefayika kote nchini humo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha