

Lugha Nyingine
Maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi yafanyika kote nchini China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2023
![]() |
Mfanyakazi wa mahakama akitoa elimu ya Katiba ya Nchi ya Jamhuri ya Watu wa China kwa umma kwenye bustani iliyoko Xinle katika Mji wa Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Desemba 4, 2023. (Jia Minjie/Xinhua) |
China imefanya maadhimisho ya Siku ya 10 ya Katiba ya Nchi Jumatatu ambapo shughuli mbalimbali zikiwemo za kuielezea na kutoa elimu ya Katiba ya Nchi kwa umma zimefayika kote nchini humo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma