Wakulima wa China wafanya maandalizi kwa msimu wa kilimo (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2024
Wakulima wa China wafanya maandalizi kwa msimu wa kilimo
Mshiriki wa Ushirika wa Upandaji Mazao wa Chunfeng akipima na kukarabati mashine ya kilimo katika Kijiji cha Yingshan, Mji wa Yichun wa Mkoa wa Jiangxi wa China, tarehe 26, Februari. (Picha na Zhou Liang/Xinhua)

Wakati majira ya mchipuko yanapokaribia, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya maandalizi kikamilifu ya kazi za kilimo za majira hayo, ili kuweka msingi mzuri kwa uzalishaji wa kilimo katika mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha