Wakulima wa China wafanya maandalizi kwa msimu wa kilimo (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2024
Wakulima wa China wafanya maandalizi kwa msimu wa kilimo
Wakulima wakinunua matrekta kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo kwenye soko la mashine za kilimo la Wilaya ya Mengcheng, Mkoa wa Anhui wa China, tarehe 27, Februari. (Picha na Hu Weiguo/ Xinhua)

Wakati majira ya mchipuko yanapokaribia, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya maandalizi kikamilifu ya kazi za kilimo za majira hayo, ili kuweka msingi mzuri kwa uzalishaji wa kilimo katika mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha