Wakulima wa China wafanya maandalizi kwa msimu wa kilimo (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2024
Wakulima wa China wafanya maandalizi kwa msimu wa kilimo
Timu ya huduma ya mashine za kilimo wakikagua na kukarabati mashine za kilimo kwenye Ushirika wa Kilimo wa Wuguyuan katika Wilaya ya Renshou, Mkoa wa Sichuan wa China, tarehe 27, Februari. (Picha na Pan Jianyong/ Xinhua)

Wakati majira ya mchipuko yanapokaribia, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya maandalizi kikamilifu ya kazi za kilimo za majira hayo, ili kuweka msingi mzuri kwa uzalishaji wa kilimo katika mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha