

Lugha Nyingine
Wakulima wa China wafanya maandalizi kwa msimu wa kilimo (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2024
![]() |
Wafanyakazi wakipakia mbolea kwenye kituo cha usafirishaji cha Kampuni ya Nishati ya Fengxi Quanji katika Wilaya ya Jishan, Mkoa wa Shanxi wa China, tarehe 27, Februari. (Picha na Li Lujian/ Xinhua) |
Wakati majira ya mchipuko yanapokaribia, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya maandalizi kikamilifu ya kazi za kilimo za majira hayo, ili kuweka msingi mzuri kwa uzalishaji wa kilimo katika mwaka mpya.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma