Wakulima wa China wafanya maandalizi kwa msimu wa kilimo (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2024
Wakulima wa China wafanya maandalizi kwa msimu wa kilimo
Mtembeleaji wa maonyesho akijaribu kuendesha trekta katika Maonesho ya nne ya Mashine za Kilimo na sehemu zao ya Katikati mwa China (Jiangxi) 2024 yaliyofanyika mjini Nanchang, Mkoa wa Jiangxi wa China, tarehe 27, Februari. (Picha na Zhou Mi/Xinhua)

Wakati majira ya mchipuko yanapokaribia, wakulima wa sehemu mbalimbali nchini China wanafanya maandalizi kikamilifu ya kazi za kilimo za majira hayo, ili kuweka msingi mzuri kwa uzalishaji wa kilimo katika mwaka mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha