

Lugha Nyingine
Wakulima wawa na pilika nyingi za shughuli za kilimo kote China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 07, 2024
![]() |
Mkulima akilima shamba katika Kijiji cha Longfu cha Mji wa Liuyang, Mkoa wa Hunan, Katikati ya China, Machi 6, 2024. (Xinhua/Chen Zeguo) |
Wakulima katika mikoa mingi ya China wako katika pilika nyingi mashambani kwa ajili ya ulimaji, upandaji wa mbegu na shughuli nyingine za kilimo cha majira ya mchipuko.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma